Indirimbo Zikundwa Open in the app

#536

E bwana wa salama

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Ee, Bwana wa salama yangu, Naja Kwako mwenye huzuni; Sina raha ya mu dunia, Naja Kwako niokolewe, Nashindwa na uovu wangu.

Refrain

Nisamehe kwa vitendo vyangu vibaya Niongoze ndani ya Neno Lako Bwana Neno hilo liwe maisha ya uzima wangu Naja Kwako niokolewe {Naja kweli nipe uwezo niyashinde Majaribu ya mu dunia Yesu, naja Kwako niokolewe} x2

Couplet 2

Wewe ni Jemadari wangu, Wanilinda katika vita, Kiongozi na Mshindaji; Tazama magumu ya zambi, Na shindwa na uovu wangu.

Refrain

Nisamehe kwa vitendo vyangu vibaya Niongoze ndani ya Neno Lako Bwana Neno hilo liwe maisha ya uzima wangu Naja Kwako niokolewe {Naja kweli nipe uwezo niyashinde Majaribu ya mu dunia Yesu, naja Kwako niokolewe} x2

Couplet 3

Najua mbele kuna taji La wokovu kwa washindaji, Naomba Jeshi la ulinzi, Linilinde katika Neno Lako la uzima ee Yesu.