Indirimbo Zikundwa Open in the app

#520B

Kesheni kaombeni

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Kesha ukaombe panapo nafasi; Wakati si mwingi, kwa vile ukeshe. Mwili ni dhaifu, adui hodari; Karibu atakuja, Bwana wa Arusi.

Refrain

Kesha, omba, kesha, omba, Kesha kaombe gizani, mchana, Daima kesha.

Couplet 2

Fukuza usingizi, fukuza mashaka; Ahadi ni yako, raha ya milele. Bwana alikesha kwa ajili yako; Jasho Yake ikawa matone ya Damu.

Refrain

Kesha, omba, kesha, omba, Kesha kaombe gizani, mchana, Daima kesha.

Couplet 3

Yesu umkubali awe nguvu zako; Silaha uzivae: adui karibu. Sasa nafasi iko, isipite bure; Bila kukawia Masihiya kesha.

Refrain

Kesha, omba, kesha, omba, Kesha kaombe gizani, mchana, Daima kesha.