Indirimbo Zikundwa Open in the app

#489

Neema, neema ya bwana

Coll. des Cantiques

Refrain

{Neema, Neema, Neema ya Bwana, Neema ya Bwana mulango ni wazi.} x2 {Sikiliza ni kuelezee Sababu ninafurahi.} x2

Couplet 1

Ninaimba mu Jina la Yesu Sababu ninafurahi. Sikiliza ni kuelezee Sababu ninafurahi - Nahubiri mu Jina la Yesu Sababu ninafurahi. Sikiliza ni kuelezee Sababu ninafurahi - Nafurahi mu Jina la Yesu Wa ndugu wameokoka. Sikiliza ni kuelezee Sababu ninafurahi.

Refrain

{Neema, Neema, Neema ya Bwana, Neema ya Bwana mulango ni wazi.} x2 {Sikiliza ni kuelezee Sababu ninafurahi.} x2

Couplet 2

Asifiwe Bwana Mungu wangu Kwa kazi ya Golgotha. Sikiliza ni kuelezee Sababu ninafurahi - Bwana Yesu ananiita leo Kwa nuru ya mangaribi. Sikiliza ni kuelezee Sababu ninafurahi - Bwana Yesu ananisamehe Ma zambi niliyotenda. Sikiliza ni kuelezee Sababu ninafurahi - Neno Lake linanitakasa Naitwa mwana wa Mungu. Sikiliza ni kuelezee Sababu ninafurahi.

Refrain

{Neema, Neema, Neema ya Bwana, Neema ya Bwana mulango ni wazi.} x2 {Sikiliza ni kuelezee Sababu ninafurahi.} x2

Couplet 3

Bwana Yesu ananiokoa Roho Yake ni ndani yangu: Sikiliza ni kuelezee Sababu ninafurahi - Siku ile Bwana atarudi Kubeba Kanisa Lake. Sikiliza ni kuelezee Sababu ninafurahi - Nitakuwa pamoja na wale Mufalme aliteula. Sikiliza ni kuelezee Sababu ninafurahi - Heri gani kumuona Bwana Kuishi Naye milele. Sikiliza ni kuelezee Sababu ninafurahi.

Refrain

{Neema, Neema, Neema ya Bwana, Neema ya Bwana mulango ni wazi.} x2 {Sikiliza ni kuelezee Sababu ninafurahi.} x2