Indirimbo Zikundwa Open in the app

#417

Tunakwenda mbele

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Tunakwenda mbele nyuma ya Bwana, Chini ya bendera ya Mkombozi, Tukisifu Jina kubwa la Yesu; Bwana atakaporudi!

Refrain

Twende mbele, twende mbele, Tukiimba sifa Kwake; Tufurahi, tufurahi: Hakika tutashinda. Ee askari wa hodari twendeni, Mungini una maji ya uzima; Twendeni, wageni na wasafari, Bwana atakaporudi!

Couplet 2

Kila siku silaha tuzivae, Tusi’gope hatari ya shindano; Musalaba Wake tuunyanyuwe, Bwana atakaporudi!

Refrain

Twende mbele, twende mbele, Tukiimba sifa Kwake; Tufurahi, tufurahi: Hakika tutashinda. Ee askari wa hodari twendeni, Mungini una maji ya uzima; Twendeni, wageni na wasafari, Bwana atakaporudi!

Couplet 3

Sisi ni askari ya Mufalme, Tukishinda jeshi lake Shetani, Taji tutavikwa kule Mbinguni; Bwana atakaporudi!