#410
Kujeni askari za Mungu
Coll. des Cantiques
Couplet 1
Kujeni askari za Mungu, Yesu ni Kiongozi; Twendeni tupige vita leo Kwa mulima wa Sayuni.
Refrain
Tulete amani tena Kwa nguvu Yake Mungu, Tukitumaini Yesu (Kristo) Hakika tutashinda, Kushinda wa adui, Sisi ni washindaji,, Tukitumaini Yesu Hakika tutashinda.
Couplet 2
Wakristo, twendeni pamoja Tufwate nyuma Yake, Twende na tupige vita leo, Tushinde ‘vu ya Shetani.
Refrain
Tulete amani tena Kwa nguvu Yake Mungu, Tukitumaini Yesu (Kristo) Hakika tutashinda, Kushinda wa adui, Sisi ni washindaji,, Tukitumaini Yesu Hakika tutashinda.
Couplet 3
Hatuta iogopa mauti: Uzima ni mwa Kristo. Asubui ataonekana Na utukufu mukubwa.
Refrain
Tulete amani tena Kwa nguvu Yake Mungu, Tukitumaini Yesu (Kristo) Hakika tutashinda, Kushinda wa adui, Sisi ni washindaji,, Tukitumaini Yesu Hakika tutashinda.
Couplet 4
Tutasimama sasa kwa Bwana Mu utukufu Wake, Utatuangazia mwangaza Tukipokea zawadi.