Indirimbo Zikundwa Open in the app

#398

Mimi ni mgeni

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Mimi ni mgeni, dunia napita. Nijitafutie mali ya Mbinguni, Bwana Yesu ananiita Mbinguni. Sasa hii siyo nchi yangu tena.

Refrain

Bwana wangu, U rafiki mwema. Nisipofika juu, nifanye je Bwana? Bwana Yesu ananiita Mbinguni, Sasa hii siyo nchi yangu tena.

Couplet 2

Yesu alikwenda Mbinguni juu Kwake, Nitamwamkia kwa mkono wangu; Ananisubiri nifike langoni. Sasa hii siyo nchi yangu tena.

Refrain

Bwana wangu, U rafiki mwema. Nisipofika juu, nifanye je Bwana? Bwana Yesu ananiita Mbinguni, Sasa hii siyo nchi yangu tena.

Couplet 3

Tutakuwa hai milele kwa Bwana, Waliotukuta huko wafurahi, Wamsifu mungu, Haleluya Bwana! Sasa hii siyo nchi yangu tena.

Refrain

Bwana wangu, U rafiki mwema. Nisipofika juu, nifanye je Bwana? Bwana Yesu ananiita Mbinguni, Sasa hii siyo nchi yangu tena.