#384B
Yerusalema
Coll. des Cantiques
Couplet 1
Yerusalema ya Mbingu; Siku gani ‘tafikamo, Muji ule wa milele? Bwana Yesu ndiye Nuru.
Refrain
Kule juu kupita mawingu Macho yangu yataona Yesu, Barabara ya zahabu safi (sana), Vyote kule utukufu kwake (Kristo).
Couplet 2
Nasikia wimbo nzuri Toka juu,wateule Wakiimba na furaha Heshima ya Mwana kondoo.
Refrain
Kule juu kupita mawingu Macho yangu yataona Yesu, Barabara ya zahabu safi (sana), Vyote kule utukufu kwake (Kristo).
Couplet 3
Bwana Yesu Mfalme wangu, Nitakuwa sawa Wewe; Takwimbia siku zote Milele hata milele.
Refrain
Kule juu kupita mawingu Macho yangu yataona Yesu, Barabara ya zahabu safi (sana), Vyote kule utukufu kwake (Kristo).
Couplet 4
Kule nitabarikiwa, Nitavaa mwili mupya; ‘Taonana na wapendwa Walio tutangulia.