Indirimbo Zikundwa Open in the app

#358

Malaika alitangaza

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Malaika alitangaza, Ni nani anayestahili Kufungua kitabu, kuvunja mihuri?

Refrain

{Wa Malaika wote} x3 – {K’ogopa-} x5 Hakika Yesu aneneya (sana), {Wote wanalia} x3 {-’neneya-} x5 Hakika Yeye anenea (sana).

Couplet 2

Na mumoja wa wale wazee Akasema: « Tazama Simba, Yeye atavunja mihuri Yake saba! »

Refrain

{Wa Malaika wote} x3 – {K’ogopa-} x5 Hakika Yesu aneneya (sana), {Wote wanalia} x3 {-’neneya-} x5 Hakika Yeye anenea (sana).

Couplet 3

Kila lugha na jamaa yote, Taifa na kabila yote Imenunuliwa kwa Damu Yake Yesu!

Refrain

{Wa Malaika wote} x3 – {K’ogopa-} x5 Hakika Yesu aneneya (sana), {Wote wanalia} x3 {-’neneya-} x5 Hakika Yeye anenea (sana).

Couplet 4

Kweli majina ‘liandikwa Misingi ya dunia bado, Heri ikiwa umepatigana ndani.

Refrain

{Wa Malaika wote} x3 – {K’ogopa-} x5 Hakika Yesu aneneya (sana), {Wote wanalia} x3 {-’neneya-} x5 Hakika Yeye anenea (sana).

Couplet 5

Wale walio kuwa Wake, Anawafanya kuwa huru, Akiwatia muhuri wa Roho Yake.