#356
Simama na kuona
Coll. des Cantiques
Couplet 1
Simama (na kuona) vile (dunia hii) Inaenda mbio, ona mateso duniani! {«Ugomvi, vita mbali mbali.»} x2
Refrain
Watu wa Mungu wanaikaa kimia, Wanajua kama (Bwana) eko karibu.
Couplet 2
Tazama (nakuona) watu wa (dunia) Wana waza waza na kushanga hali ya watu, {« Hawajui tu kitu gani.»} x2
Refrain
Watu wa Mungu wanaikaa kimia, Wanajua kama (Bwana) eko karibu.
Couplet 3
Tazama (watu wote) sasa (wameitwa) Kwa kujikusanya mu ujumbe moja wa Yesu, {« Na kuongojea kubebewa.»} x2
Refrain
Watu wa Mungu wanaikaa kimia, Wanajua kama (Bwana) eko karibu.
Couplet 4
Geuza (mwendo wako), Yesu (Bwan’Arusi) Akatukutane paka fazi moja ya pekee, {« Mu Mwili wake kama Bibi.»} x2
Refrain
Watu wa Mungu wanaikaa kimia, Wanajua kama (Bwana) eko karibu.