Indirimbo Zikundwa Open in the app

#339B

Natazama mbali

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Natazama mbali ngambo ya Yordani, Bwana ‘nipeleke Nyumbani; Jeshi la malaika lanikaribia, Bwana’nipeleke Nyumbani.

Refrain

{Shuka gari la Mbingu, Bwana nipeleke Nyumbani.} x2

Couplet 2

Ukingia kule bado sijafika, Bwana ‘nipeleke Nyumbani; Sema na wampezi nami nitafika, Bwana ‘nipeleke Nyumbani.

Refrain

{Shuka gari la Mbingu, Bwana nipeleke Nyumbani.} x2