#336
Vilima vyote
Coll. des Cantiques
Couplet 1
Vilima vyote na mabonde, Vitayeyushwa, Neno Lake Bwana imara, litasimama.
Refrain
Simama imara ‘jilinde; Neno Lake Bwana imara; Kesha kila siku uombe, Utasimama. (x2)
Couplet 2
Bwana Yesu ‘takapokuja, Tutamuona, Neno Lake Bwana imara, litasimama.
Refrain
Simama imara ‘jilinde; Neno Lake Bwana imara; Kesha kila siku uombe, Utasimama. (x2)
Couplet 3
Sisi wote tuwe tayari, Kwa kuongojea, Hatujui siku wala saa Bwana atarudi.
Refrain
Simama imara ‘jilinde; Neno Lake Bwana imara; Kesha kila siku uombe, Utasimama. (x2)