Indirimbo Zikundwa Open in the app

#302

Kwa maficho hemani

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Kwa maficho hemani mwake anichunga, Kwa taabu la muzigo wa mateso; Na atanipandisha juu mwambani, Kwake Mwokozi nitachungwa.

Refrain

Anichunga (vema sana), Anichunga (kila saa), Kule huzuni na jaribu hakuna; Anichunga (siku zote), Anichunga (kwa milele), Hemani mwake Mwokozi anichunga.

Couplet 2

Kwa maficho hemani mwake anichunga, Utukufu wake uniangaza; Na mavazi ya nuru atanivika, Oh! Furaha gani kwa Mwokozi.

Refrain

Anichunga (vema sana), Anichunga (kila saa), Kule huzuni na jaribu hakuna; Anichunga (siku zote), Anichunga (kwa milele), Hemani mwake Mwokozi anichunga.

Couplet 3

Kwa maficho hemani mwake anichunga, Kwa mapendo yake makubwa sana; Kule nitaikaa na Ye Bwana na- Nitafurahiwa milele.