Indirimbo Zikundwa Open in the app

#297

Siku moja nitaona Yesu

Coll. des Cantiques

Couplet 1

{Siku moja nitaona Yesu,} x3 Asifiwe Mwokozi!

Refrain

{Damu ya Yesu} x3 Husafisha kabisa.

Couplet 2

{Bwana Yesu alituokoa} x3 Golgotha Msalabani.

Refrain

{Damu ya Yesu} x3 Husafisha kabisa.

Couplet 3

{Yeye pekee alilalamika:} x3 « Yote imetimizwa! »

Refrain

{Damu ya Yesu} x3 Husafisha kabisa.

Couplet 4

{Nguvu za Shetani zimekwisha,} x3 Asifiwe Mwokozi!

Refrain

{Damu ya Yesu} x3 Husafisha kabisa.

Couplet 5

{Yesu ndiye Bwana ya wabwana,} x3 Asifiwe Mwokozi!

Refrain

{Damu ya Yesu} x3 Husafisha kabisa.

Couplet 6

{Siku ya karamu ni karibu,} x3 Tutakula pamoja!

Refrain

{Damu ya Yesu} x3 Husafisha kabisa.

Couplet 7

{Sisi wote twimbe Aleluya!} x3 Asifiwe Mwokozi!

Refrain

{Damu ya Yesu} x3 Husafisha kabisa.