Indirimbo Zikundwa Open in the app

#259A

Ninajitoa kwako

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Ninajitoa kwako Bwana: Roho, mwili na akili, Kwani Wewe ni Mungu wangu, Mwokozi na Mfalme wangu.

Refrain

Niongoze Nenoni mwako, Kati safarini huku, Hili nisije nikanguke, Nifikishe bandarini.

Couplet 2

Njiani jaribu ni nyingi; Mengi ya kunizuia; Ni kwa mkono wako Wewe Nitashinda kila kitu.

Refrain

Niongoze Nenoni mwako, Kati safarini huku, Hili nisije nikanguke, Nifikishe bandarini.

Couplet 3

Mwenyezi bila Wewe huku, Sina kitu cha kutenda; Bwana, uwe karibu nami Pahali pote duniani.

Refrain

Niongoze Nenoni mwako, Kati safarini huku, Hili nisije nikanguke, Nifikishe bandarini.

Couplet 4

Wewe ni tumaini langu, Kimbilio, Ngabo langu; Nikianguka niamushe, Nisitende ‘wovu tena.

Refrain

Niongoze Nenoni mwako, Kati safarini huku, Hili nisije nikanguke, Nifikishe bandarini.

Couplet 5

Umeuponya moyo wangu Kwa anasa za dunia; Neema kubwa nimeonja, Ni uheri wa Mbinguni.