#105
Mwamba wako ni nani?
Coll. des Cantiques
Couplet 1
Mwamba wako ni nani?
Refrain
Mwamba ni Yesu, Mwamba, Mwamba ni Yesu wa Mapendo.
Couplet 2
Utamupenda nani?
Refrain
Mwamba ni Yesu, Mwamba, Mwamba ni Yesu wa Mapendo.
Couplet 3
Alikufia wewe.
Refrain
Mwamba ni Yesu, Mwamba, Mwamba ni Yesu wa Mapendo.
Couplet 4
Alipata mateso.
Refrain
Mwamba ni Yesu, Mwamba, Mwamba ni Yesu wa Mapendo.
Couplet 5
Pale pa Gologotha.
Refrain
Mwamba ni Yesu, Mwamba, Mwamba ni Yesu wa Mapendo.
Couplet 6
Utamufwata nani?
Refrain
Mwamba ni Yesu, Mwamba, Mwamba ni Yesu wa Mapendo.
Couplet 7
Nitamwimbia nani?
Refrain
Mwamba ni Yesu, Mwamba, Mwamba ni Yesu wa Mapendo.
Couplet 8
Muganga wako nani?
Refrain
Mwamba ni Yesu, Mwamba, Mwamba ni Yesu wa Mapendo.
Couplet 9
Kuhani wako nani?
Refrain
Mwamba ni Yesu, Mwamba, Mwamba ni Yesu wa Mapendo.
Couplet 10