#93B
Ninajua bwana yangu
Coll. des Cantiques
Couplet 1
Ninajua Bwana yangu, Atatengeneza Njia. (x2)
Refrain
Nikitenda uhaki, (kuishi) Maisha ‘takatifu, Ninajua Bwana yangu, Atatengeneza Njia.
Couplet 2
Yesu alinikufia, Alibeba zambi zote. (x2)
Refrain
Nikitenda uhaki, (kuishi) Maisha ‘takatifu, Ninajua Bwana yangu, Atatengeneza Njia.
Couplet 3
Bwana ‘nataka ni-ishi Siku zote juu Yake. (x2)
Refrain
Nikitenda uhaki, (kuishi) Maisha ‘takatifu, Ninajua Bwana yangu, Atatengeneza Njia.
Couplet 4
Yesu alisema kwamba: « Nitangaze Neno lake ». (x2)
Refrain
Nikitenda uhaki, (kuishi) Maisha ‘takatifu, Ninajua Bwana yangu, Atatengeneza Njia.
Couplet 5
Ni vizuri kusikia kwamba: « Umefanya vema ». (x2)