Indirimbo Zikundwa Open in the app

#87B

Ee bwana ukuu ni wako

Coll. des Cantiques

Refrain

Ee Bwana, Ukuu ni Wako, Wastahili heshima na Utukufu;

Refrain

Ee Bwana, Uweza ni Wako: Toka Mbingu Ulitufanya Ufalme.

Refrain

Nyanyueni, tangazeni Jina Lake; Sifuni, Shangilieni Kristo Mufalme.

Refrain

Ee Bwana, Ukuu ni Wako, Utatawala milele na milele.