#77B
Siku gani ya furaha
Coll. des Cantiques
Refrain
{Siku gani ya furaha Yesu aliniokoa;} x3 Sifa siku Yesu ‘liniokoa!
Couplet 1
Minyororo ya zambi, Yesu alikata, (x3) Sifa siku Yesu ‘liniokoa!
Refrain
{Siku gani ya furaha Yesu aliniokoa;} x3 Sifa siku Yesu ‘liniokoa!
Couplet 2
Mambo ya zamani siwezi kugusa; (x3) Sifa siku Yesu ‘liniokoa!
Refrain
{Siku gani ya furaha Yesu aliniokoa;} x3 Sifa siku Yesu ‘liniokoa!
Couplet 3
Si mimi naishi, Kristo ndani mwangu; (x3) Sifa siku Yesu ‘liniokoa!
Refrain
{Siku gani ya furaha Yesu aliniokoa;} x3 Sifa siku Yesu ‘liniokoa!
Couplet 4
Kwa Vidonda vyake twapata matunzo; (x3) Sifa siku Yesu ‘liniokoa!