Indirimbo Zikundwa Open in the app

#69

Imba, imba, imbia Yesu

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Imba, imba, imbia Yesu, Kwani alikuokoa bure. (x2)

Couplet 2

Chunga, chunga imani yako, Yesu ni karibu kuja. (x2)

Couplet 3

Penda, penda jirani lako, Kama unajipenda. (x2)

Couplet 4

Fwata, fwata Mwokozi Yesu, Kwani alikuokoa bure. (x2)