#43B
Kama Roho ya Mungu
Coll. des Cantiques
Refrain
Kama roho ya Mungu ni ndani yangu,
Couplet 1
Nitaimba sawa Daudi.
Refrain
Kama roho ya Mungu ni ndani yangu,
Couplet 2
Nitaomba sawa Daudi.
Refrain
Kama roho ya Mungu ni ndani yangu,
Couplet 3
Nitacheza sawa Daudi.
Refrain
Kama roho ya Mungu ni ndani yangu,
Couplet 4
Nitasifu sawa Daudi.