Indirimbo Zikundwa Open in the app

#26

Wewe mwenzangu

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Wewe mwenzangu usikie, Mwili wako ni majani. Umefurahi kwa zambi? Utateswa.

Refrain

Mwili wako wote ni majani kavu, Siku moja Bwana ‘tauchoma. {Bwana Yesu anakwita kwa Upole na mapendo.} x2

Couplet 2

Njia ni nani ya Wokuvu? Njia ni Yesu Mukombozi, Anakupenda wewe kiumbe aliumba.

Refrain

Mwili wako wote ni majani kavu, Siku moja Bwana ‘tauchoma. {Bwana Yesu anakwita kwa Upole na mapendo.} x2

Couplet 3

Bwana Mungu hakuchukie, Anachukia zambi zako; Ukija kwake ‘takupokea na furaha.